Skip to main content

MITNDO: UNA JEANS YA ZAMANI?USIITUPE ANGALIA UBUNIFU UFUATAO

Kama una jeans ya zamani ambayo huivai unaweza kubuni vitu tofauti. Angalia ubunifu katika picha zifuatazo:

Denim tote:tote made from jeans:

DIY Jeans Bag:

Large Tote or Bag made with recycled denim.:

denim slippers:

Crafts From Denim | Sandals made from scrap denim | Crafts I'll Probably Never Do:

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.