Wednesday, 23 September 2015

ORIFLAME YAZINDUA OFISI MPYA TANZANIA


Mshindi wa Bidhaa za Kampuni ya Oriflame, 2013, Jessica Mwakyulu wapili (kushoto) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ofisi mpya ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaj Mkuu wa Kampuni hio kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, na kulia ni Meneja masoko kwa nchi za Afrika, Mary Makena.


Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Oriflame kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati wa kuzindua ofisi mpya ya Kampuni hiyo jijini hapa hivi karibuni
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Oriflame kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, kulia akimsikiliza Meneja masoko wa Kampuni hiyo kwa nchi za Afrika, Mary Makena wakati alipokuwa akionyesha sehemu ya ofisi mpya za Kampui hiyo iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni.