Thursday, 17 September 2015

The Bold and The Beautiful - Rick's AnnouncementThis is what we call unconditional love!!

Wale wanaofuatilia the bold & the beautiful wataelewa nini kilitokea kati ya Rick Forrester na Maya. Kutokana na mapenzi ya dhati aliyokwa nayo Rick kwa Maya hakujali Maya alikuwa nani kabla hajakutana nae wala hakujali nduguze wanamfikiria nini?HAYA NDIYO MAPENZI YA DHATI AMBAYO WENGI HAWANA.