Sunday, 11 October 2015

JUA TABIA YA MTU KUANGALIA TU AINA YA SIMU ANAYOTUMIA


 1. Blackberry-Mtulivu
 2. Sony-Yupo yupo tu
 3. Apple iphone-anapenda sana sifa
 4. Nokia-yupo busy na mishe zake
 5. Samsung- mvumilivu,mstaarabu na mcheshi
 6. LG-Mgomvi

 1. Motorola-Ana ushamba Fulani
 2. HTC-Ana mambo ya kitoto
 3. ZTE-Haeleweki
 4. Huawei-Mzinguaji, anaboa
 5. Tecno-Wanajishauwa
 6. Itel-Wanaigiza maisha