Thursday, 8 October 2015

MITO YA KUTUPIA KATIKA MAKOCHI

Unadhifu wa nyumba unatokana na ubunifu wa mapambo na upangiliaji wa samani  wa mwenye nyumba.

Leo tuangalie aina mbalimbali ya mito ya kutupia katika makochi.