Monday, 26 October 2015

NI DIAMOND TENA! ANYAKUA TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS!Hongera sana Diamond Platnumz. Tunajivunia sana uwakilishi wako. Umeipeperusha vyema bendera ya nchi yetu. Hata wasioijua Tanzania wataijua kupitia kazi zako!