Saturday, 28 November 2015

KALI YA SIKU

Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

1.Nyani haoni - valise miwani

2.Debe tupu - weka dengu

3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani

4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu

5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi

6.Penye wengi - iko kutano ya CHADEMA

7.Asiekubali kushindwa - hio itakua CCM

8.Bandu bandu - Baba yake Somji iko Bombay

9.Simba mwenda kimya - hiyo iko Jangwani bhanaa naogopa Yanga tuu

10. Mstahamilivu- Maalim Seif miaka isirini nasinda lakini hakui rais