Monday, 23 November 2015

UREMBO: BOX BRAIDS JINSI YA KUZIBANA

Box braids zinaweza kubanwa katika mitindo tofauti na ukaonekana mpya kila siku hivyo kukuwezesha kukaa nazo muda mrefu,husan kama umesuka ndefu. Hebu angalia  style 4 tofauti  katika picha hizi.
3 Easy and Cute Styles for Box Braids: