Rainbow-tz blog
inawatakia wote heri ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo,maarufu kama KRISMASI.
Katika kusherehekea sikukuu hii tulete upendo pale palipo na chuki na hekima
pale palipojaa dharau.Kwa mliojaliwa kidogo mkumbuke kuwa kuna waliokosa kabisa
hivyo tuwakumbuke nao katika hicho kidogo.Usitupe chakula wakati jirani yako
ananjaa, usitupe nguo wakati jirani yako yupo uchi na usimwage maji wakati
jirani yako ana kiu.
Mungu awabariki wote .
MERRY CHRISTMAS!!
No comments:
Post a Comment