Wednesday, 9 December 2015

PICHA:RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA ZOEZI LA USAFI

Katika kuadhimisha miaka 54 ya uhuru,rais  John Pombe Magufuli  ameshtaki katika zoezi la usafi JIJINI Dar es salaam.
Chini ni picha zikimuonyesha akiwa katika zoezi hilo.


Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete nae alikuwa miongoni mwa waliosafisha jiji la Dar