Monday, 29 February 2016

THE KITCHEN: JINSI JIKO JEUPE LINAVYOPENDEZA

Kila mtu ana uchaguzi wake wa rangihususan jikoni. Mimi hupendelea zaidi rangi nyeupe!
Nyeupe kwangu inaonyesha usafi, ung´aavu(mwanga) na kupendeza vilevile.
Tuangalie picha za baadhi za majiko yenye rangi nyeupe.