Tuesday, 15 March 2016

MY SLIP-ON SNEAKERS COLLECTION FOR THIS SPRING/SUMMER, (1ST COLLECTION)!

Mimi ni mpenzisana wa viatu.Tunaelekea mwishoni mwa msimu wa baridi hivyo tunaanza kuandaa makabati yetu (wardrobes) na mavazi ya majira ya joto(summer).
Nitawaletea collection yangu ya viatu kwa ajili ya spring/summer.Msimu huu nimependelea sana kuvaa slip-on sneakers zaidi.Collection yangu ya kwanza  ni SFCARO ambayo nitaionyesha leo.Kesho nitawaletea collection yangu ya pili.