Friday, 11 March 2016

STYLE TOFAUTI ZA NYWELE

Angalia hapo chini walivyopendeza katika mitindo tofauti ya nywele.Ili upendeze na weaving au wigs inabidi uzingatie shape ya uso wako.Mimi ninaweza kusuka nikapendeza lakini wewe utakaposuka ukaonekana kituko kutokana na shape ya uso wako.