Friday, 11 March 2016

SUNGLASSES FOR MEN

Sunglasses nazo zinategemea shape ya uso hivyo zingatia hilo unapotaka kununua miwani.Nilishatoa makala siku za nyuma kuhusu shape za uso na miwani zinazopaswa kuvaliwa na watu wenye shape hizo.