Tuesday, 12 April 2016

BEAUTIFUL LOOKS!WHICH ONE DO YOU LIKE?

Wanawake pesa zetu zinaishia kwenye urembo!Ndiyo maana kuna usemi kuwa "HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI" kwani urembo unapatikana dukani! Mtu hujiremba kwa kutumia urembo mbalimbali,zikiwemo rangi za mdomo (lipstick), wanja, wifi,kope za bandia n.k.Vyote hivi hupatikana kwa bei ya chini na kwa bei ya juu vilevile.Mtumiaji hununua kulingana na kipato chake.
Angalia picha zifuatazo kuuona urembo!