Sunday, 10 April 2016

FOR SUNGLASSES LOVERS!

Mimi ni mpenzi sana wa miwani na huwa ninanunua tu bila kujali tayari nina ngapi.
Msimu wa joto unaanza huku ninakoishi ni harakati za kubadilisha kabati kwendana na msimu ujao.
Tuangalie baadhi ya miwani nilizonazo tayari kwa msimu na ninazotarajia kuwa nazo!