Sunday, 1 May 2016

MANUKATO KWAAJILI YA MSIMU WA "SPRING"(MAJIRA YA MCHIPUKO)!

Ni vizuri kutumia manukato kulingana na msimu.Kwanini?Ni ili upate matokeo mazuri wewe na wale wanaokuzunguka.
Hutakiwi kutumia manukato makali sana wakati wa joto.
Angalia baadhi ya manukato  ya spring(majira ya mchipuko)