Wednesday, 4 May 2016

THE BEDROOM: DRESSING ROOM/CLOSET IDEAS

Wengi wetu tunapojenga nyumba zetu tunasahau kuweka kitu muhimu sana,sehemu ya kuweka nguo, viatu n.k na badala yake tunakusanya kila kitu katika chumba cha kulala. Hii si nzuri kwani muonekano mzima wa chumba hubadilika na kuonekana kama stoo .
Hivyo ni muhimu sana unapojenga nyumba katika chumba chako (master bedroom), ujenge na chumba cha kuhifadhia nguo,viatu n.k.
Angalia mfano wa chumba hicho kinavyoweza kuwa: