Monday, 9 May 2016

THE WARDROBE:MAVAZI YA KAZINI

KazinI ni sehemu ambapo ni lazima uonekane mtanashati. Kwa wale ambao wanavaa uniform kwao ni rahisi kwasababu ni aina moja ya mavazi ambayo wanatumia, kikubwa kwao ni usafi tu.Kwa wale wanaovaa uniform kwao ndiyo kazi ipo kwani wanatakiwa kuwa wabunifu kila siku ili waonekane watanashati.Tuangalie baadhi ya mpangilio wa nguo za ofisini katika picha.