Friday, 22 July 2016

HUYU NI NANI?

Blog imekuwa ikisuasua kutokana na sababu zisizozuilika.
Kwasasa itakuwa kama ilivyokuwa mwanzo.
Ila tunatarajia na nyie wasomaji wetu wapenzi mtashiriki kikamilifu ktk katika kutoa maoni yenu n.k ili kutupa msukumo wa kuendelea kuandika.
Katika kipengele hiki cha huyu ni nani tunahitaji majibu yenu na maoni yenu.
Vilevile tunahitajika maoni katika kila chapisho utakalo ona unahitaji kutoa maoni. Mwisho tutaangalia ni nani ambaye ametoa maoni mengi na tutamzawadia.
Tutamtaja hapahapa ktk blog.
Toa maoni kadri uwezavyo kwani mwisho wa hili zoezi ni pale tutakapokuwa tumepata maoni ya kutosha.
Zawadi tutatangaza baadae ila itakuwa ni kitu kizuri!
Zawadi tutatoa kwa Tanzania(Dar es sslaam).Unaweza kushiriki kutoka sehemu yeyote đuniani ila zawadi tutakabidhi kwa ndugu/rafiki yako n.k ambaye utamchagua, aliyeko Dar es salaam.
Asanteni