Sunday, 24 July 2016

SUMMER MOOD:BALLERINA SHOES

Ballerina unaweza kuwa nazo za rangi tofauti na ukavaa kulingana na matakwa yako.
Majira ya  joto (summer),ni vizuri kuonekana nadhifu zaidi.Hii italetwa na upangiliaji wako wa mavazi bila ya kusahau viatu.
Binafsi ninapenda sana viatu na sichoki kununua.