Sunday, 28 August 2016

AUTUMN /WINTER BOOTS

I love the boots.
Tunaanza kujiandaa na msimu wa baridi.Sasa hivi ni mwendo wa kununua makoti na viatu vinavyohitajika katika msimu huo.
Katika msimu wa baridi ni lazima mtu uonekane nadhifu hasa kama unapenda mitindo!!