Thursday, 25 August 2016

MITINDO MBALIMBALI YA NYWELE KWA WANAWAKE

Nywele ni moja ya vitu vinavyoongeza urembo kwa mwanamke.Kwa kulijua hilo,wanawake wamekuwa wakibadilisha mitindo ya nywele mara kwa mara.
Mimi mwenyewe nimekuwa nikifanya hivyo.
Tuangalie mwonekano wa wanawake katika mitindo tofauti.
Siku zijazo nitawaletea mwonekano wangu!