Thursday, 4 August 2016

NIEIPENDA HII HANDBAG NDOGO KUTOKA ZARA

Ni muhimu kuwa na handbag za size tofauti.Hii hukusaidia kuwa na uwezo wa kuchagua ubebe handbag size gani kulingana na mahitaji.Si kila wakati unahitaji kubeba handbag kubwa.Kuna wakati mwingine unahitaji kuwa na handbag ndogo tu ili kuhifadhi vitu muhimu mfano simu, kadi na vitambulisho na vipodozi kidogo kama lipstick/lipshine,perfume ndogo n.k

Bild 5 av CIRKULÄR AXELVÄSKA MED LÅS från Zara


CIRKULÄR AXELVÄSKA MED LÅS
Bild 4 av CIRKULÄR AXELVÄSKA MED LÅS från Zara