Skip to main content

Instant Pot Duo 7 in 1 Electric Pressure Cooker

I think it is good to share with you our beloved readers!
This pot is really wonderful.
The latest Instant Pot Duo 7 in 1 Electric Pressure Cooker is a Multi-Functional Automatic – Pressure Cooker, Slow Cooker, Rice Cooker, Sauté/Browning, Yoghurt Maker, Steamer & Warmer.
It is available in Amazon USA/UK.
I am going to buy mine.
Hili ni sufuria maalumu la umeme la kupikia lenye kufanya shughuli nyingi.Unaweza kupikia wali,kutengeneza mtindi,kupasha moto chakula (microwave)n.k
Ukilinunua hili faida ni nyingi kuliko hasara.
Na mimi ninaagiza la kwangu!

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.