Skip to main content

THE GARDEN:CONTAINER GARDENING

Kwa ubunifu unaoonekana hapa inamaanisha kabla hujatupa kitu kwako fikiria  kwanza je,unaweza kubuni kitu?Tumeona jinsi maua yanavyoweza kupandwa katika matairi ya magari, mikokoteni, baiskeli,viatu n.k
Leo tunaona meza ya kujirembea (dressing table) inavyiweza kutumia kibunifu vilevile katika kupanda maua!

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.