Thursday, 22 September 2016

JIJI LA STOCKHOLM LIKIENDELEA KUJENGWA

Mji wa Stockholm umekuwa ukijengeka kila kukicha sababu ya kuwa na wakazi wengi hivyo makazi kutokukidhi idadi ya wakazi.
Wenzetu wana mpangilio mzuri kwani kila wanapojenga makazi wanahakikisha wanaweka  mahitaji yote muhimu kama supermarkets,migahawa, maduka ya dawa,maduka ya nguo n.k ili kuwa vuta wakazi na kuwa punguza adhabu ya kwenda kufanya mnunuzi mbali.
Kwa kufanya hivi mtu unaweza kuishi popote.
Na sisi tujifunze kupanga miji yetu na hii kwani itasaidia kupunguza misongamano barabarani.