Skip to main content

KIDLICIOUS :CHILDREN ROCKING WITH AFRICAN PRINT DESIGNS

Kwa kweli watoto hawa wamependeza.Nguo zao ni simple tu ila ubunifu ndiyo umeongeza thamani.Tuwe wabunifu.
Ninaamini kila mmoja wetu ana uwezo wa kubuni kitu kikubwa ni KUJIAMINI.
Nipo katika mchakato wa kubuni na mimi.Nitawaonyesha hapa muda ukiwadia! !

Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.