Wednesday, 30 November 2016

TAMBI ZA DENGU


a)unga wa dengu 1/2kg
b)unga wa mchele 1/4kg
c)baking powder 1tbsp
d)pilipili manga ya unga robotatu tbsp
e)uzile wa unga 1tbsp
f)chumvi kiasi
g)mafuta ya alizeti 1/2 lita
h)maji
1.kwenye bakuli kubwa changanya unga wa dengu,wa mchele,uzile,pilipili manga,chumvi na baking powder
2.weka maji taratibu huku unakanda hadi upate donge gumu kiasi
3.funika donge kwa dak30
4.weka mafuta kwenye karai bandika jikoni yapate moto
5.chukua mashine ya tambi weka donge kisha kandamiza taratibu huku ukiruhusu minyororo ya tambi kuingia kwenye mafuta,kaanga tambi hadi ziwe rangi nzuri.fanya ivo hadi umalize donge lote
CHANZO:Facebook -MAPISHI fasta