Monday, 9 January 2017

THE WARDROBE :MAXI DRESSES KWA

Maxi dress ni vazi linalompendeza kila mtu.Haijalishi ni mrefu au mfupi,mbele au mwembamba.
Mimi ninazo za kutosha na huongezea kila nikiona inayonivutia .Ni vazi zuri sana ktk majira ya joto.