Tuesday, 18 April 2017

THE BATHROOM: BATHTUBS

Unapenda mwonekano gani katika bafu lako?Je,unapenda bafu lenye shower au bath tub au vyote?
Majibu ya maswali haya ndiyo yataamua mwonekano wa bafu lako.
Mimi hupendelea kuoga kwenye bathtub.Ni sehemu ambayo ninaweza kuchukua muda mrefu kupumzisha akili yangu baada ya harakati za siku nzima.Hunifanya nijisikie vizuri.
Bathtubs zipo za aina tofauti kulingana na kipato chako.
Hebu tuangalie bathtubs zifuatazo