Saturday, 8 April 2017

THE BEDROOM:AINA ZA VITANDA NA MPANGILIO WAKE

Unaponunua kitanda inatakiwa kuzingatia uimara wake na vile vile zingatia aina ya  godoro ili kuepuka maumivu ya mgongo.Kitandani ni sehemu tunayotumia nusu ya muda wetu hivyo ni bora tuwe makini.
Mimi ninapendelea continental beds.Na ndizo nitawaonyesha haha Leo!