Friday 14 December 2018

CHRISTMAS IS ALMOST HERE


Christmas ni msimu wa kukutana kwa familia nyingi.Kwa Tanzania,mfano mkubwa ni ndugu zetu wa Kilimanjaro(Wachagga,ambao wao huwa ni kama ada kwenda kuhesabiwa.Watu wa sehemu nyingine za Tanzania huenda kwao pia ila siyo kwa hamasa kubwa kama ya ndugu zetu wachagga.Mimi nadhani ni utaratibu mzuri sana.Je,wewe unafikiri ni utaratibu mzuri?
Driving home for christmas🌲🌲🌲🌲🌲🌲





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...