Thursday, 13 December 2018
I LOVE THIS DRESS
Hili gauni nilinunua moja kwaajili ya summer .Kwa kweli sivai sana magauni kutokana na hali ya hewa ya hapa Sweden ,isipokuwa katika majira ya joto(summer). And Oh, my God gauni lilikuwa ni my favourite.Nilinunua nyekundu (mixed),then kutokana na uzuri wake na material nzuri nikanunua ba rangi nyingine.Summer nilimereneta kwa kweli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
The cash money brother -Japher Kiongoli wedding was in Sydney, Australia. The CEO alias Mpiganaji Davis Mosha, Nancy, kids, mother ...
No comments:
Post a Comment