Monday 17 December 2018

THANKS TO TANGA BEACH RESORT

Ukiwa Tanga,Tanzania,na ukitaka sehemu nzuri ya utulivu kupumzika,nenda Tanga beach Resort.Huduma zao ni nzuri sana na ina wafanyakazi wakarinu.Asante sana kwa huduma zenu and I can’t wait to be there again!









No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...