Saturday 25 April 2020

SHORT WIG

Wigi ni moja wapo ya urembo kwa mwanamke hasa ukiwa ni mtu wa mihangaiko mingi ambayo inakunyima muda wa kutengeneza nywele zako mara kwa mara.Inatakiwa uwe na wigi tofauti kulingana na shighuli na msimu.Mfano wigi fupi zinafaa wakati wa joto n.k


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...