Tuesday, 20 October 2015

STORI YENYE MAFUNDISHO MAKUBWA

JARIBU KUSOMA STORI HII MPAKA MWISHO NA UTAJIFUNZA KITU


“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyesha anaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza kufumbua kinywa changu. Lakini ilibidi nimwambie ili ajue nilikuwa nikifikiri nini juu yake.
Nataka kukupa talaka. Nilianza kusema kwa utulivu. Alionekana kutokereka na maneno yangu badala yake aliniuliza kwa sauti ya upole ‘kwa nini?’ Sikumjibu swali lake. Kutojibu kulimfanya akasirike. Akatupa kijiko na akanikaripia, ‘wewe si mwanamume!’ Usiku ule,hakukuwa na maongezi kati yetu. Alikuwa akilia kwa kwikwi. Nilifahamu kwamba alitaka kujua ni nini kimetokea kwenye ndoa yetu. Lakini kwa hakika nisingeweza kumpa jibu wala sababu ya kuridhisha; alionekana si mali kitu kwangu penzi langu lilihamia kwa Mary. Sikumpenda tena mke wangu mawazo yote yalikuwa kwa Mary. Kwa kweli nilimdharau mke wangu!
Huku moyo wangu ukijua wazi kwamba nafanya kosa, niliandika talaka ambayo ilionyesha kwamba yeye (mke wangu) angepata nyumba yetu, gari na atakuwa na hisa 30% ya kampuni yetu. Aliangalia talaka ile na kuichana vipande vipande.

Wema Sepetu anavyolipwa akialikwa kwenye Party, kupatanishwa na nguo za ...

3 PCS WOMEN MESSENGER BAG LUXURY CROCODILE PATTERN







Kama umependa hii mikoba bofya hapa:http://www.gotclicks1.com/afYwvrC52x5u

NEW TRENDY 18K STAMP NECKLACE SET



''


If interested click here: http://www.gotclicks1.com/MElYMgYnFpBk

925 Sterling Silver jewelry,925 necklace + bracelet jewelry set



If you are interested click here:
http://www.gotclicks1.com/2yyMFb6dPaqY



If interested click here:

http://www.gotclicks1.com/E5czXQJh9h8y

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...