Tuesday, 30 April 2013

MZEE MANDELA ANAENDELEA VIZURI


Kwa mujibu wa viongozi wa ANC walio mtembelea mzee Mandela nyumbani kwake wanasema hali yake inaendelea vizuri.
Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma na makamu   raisi wa chama cha ANC  Cyril Ramaphosa ni miongoni mwa viongozi wa ANC waliomtembelea Mandela.

Habari hii ni kwa hisani ya BBC news

No comments:

Post a comment

START YOUR OWN ONLINE BUSINESS

 Many people are working online especially during this time of CoronaYou can do this also if you have a will.  Register for a Free Live Webi...