| Rais Jakaya Kikwete ndiye alikuwa mgeni rasmi wa sherehe za suku ya wafanyakazi ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Mbeya |
| Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wafanyakazi |
| Kivutio kilikuwa ujumbe mbalimbali kwenye mabango |
| Mashirika walionyesha huduma zao.Huu ni mfuko wa penseni wa watumishi wa umma |
| Skauti nao walikuwepo |
No comments:
Post a Comment