Hii imetokea huko Nigeria ambapo mwanaume mmoja kwa jina Chemezie Osuigwe amekamtwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mama yake aliyekuwa na umri wa miaka 78 mwaka 2003.
Osuigwe mwenye umri wa miaka 64 alikamatwa baada ya jamaa yake mmoja kugundua mabaki ya mwili wa binadamu yakiwa yamehifadhiwa katika kabati nyumbani kwa Osuigwe.
Kwa mujibu wa kamishna wa polisi wa Imo bwana Musa Katsina, Lucy Osuigwe aliripotiwa kupotea mwaka 2003.
CHANZO: Tribune
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Hip Hop’s Legend, Jay Z announced his world tour yesterday which includes seven stops in Africa, according to Billboard. Jay-Z has nai...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...

No comments:
Post a Comment