Thursday 30 May 2013

MWANAFA APENDEKEZWA KUWA BALOZI WA SAMSUNG GALAXY S4

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kupendekezwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy 4.

 Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (katikati) akitoa neno la shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy S4. 
Simu ambayo inaongozwa kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imeshauza simu Milioni 10 duniani kote. Kulia ni  Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni  Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt. 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...