Wakati Huo Huo Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair.
Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwair kutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava.
Msikilize MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki
No comments:
Post a Comment