Thursday 16 May 2013

Rais Jakaya Kikwete atembelea viwanda vya BIDCO Oil na Azam Buguruni

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa  wakizindua mpango wa kuweka virutubisho vya lishe bora katika bidhaa za unga na mafuta nchini uliofanyika katika kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo katika eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...