Saturday, 1 June 2013

IGP AWAVISHA VYEO MAOFISA WANDAMIZI WA POLISI



DSC_6402 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye ambaye hapo awali alikua Kamisha Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Hafla hiyo fupi imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo maofisa wawili kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
 DSC_6410 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Alice Mapunda ambaye hapo awali alikua Kamisha Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Hafla hiyo fupi imefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo maofisa wawili kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi kuwa Naibu Kamishna wa Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
 DSC_6401

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...