RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana Waongoza Wahusika wa FAya Dr.Sun Yat-sen’walipofika na ujumbe wake kupata historia ya makumbusho hayo huko Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbi la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana. [Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiuliza jambo akiwa na Ujumbe wake wakati walipotembelea Makumbusho ya Kihistoria ya Dr.Sun Yat-sen’s yaliyopo Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana. [Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.]
Baadhi ya Wananchi wa Mitaa mbali mbali katika mji wa Nanjing hufika kutembelea sehemu ya Makumbusho ya kihistoria pamoja na Watalii kutoka nje ya mji huo,kuangalia mandhari yakupendeza na kupanda mlima wa kihistoria wa Dr,Sua Yat-sen’s,katika Jimbo la Jiangsu.{Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.}
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Nje,Hong Chengzong,mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege katika Mji wa Xiamen,nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China jana.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]
No comments:
Post a Comment