Hawa ni baadhi ya watu waliovaa vizuri wakapendeza
PATCHO MWAMBA
Mmoja kati ya watu wachache ambao walifuata dress code ya usiku wa Bongomovie Awards, Patcho alitupia nguo ya kitenge ambayo imeandikwa “DEBOUT CONGOLAIS” INDEPENDENCE 3O JUNNE. Ikimaanisha kwamba kumbukumbu ya miaka 30 ya Uhuru wa Congo. Zaidi ya hapo mkononi alikuwa na fimbo flani hivi,chini alivaa simple sandlez akamalizia na kiko mdomoni.

ZAMARADI MKETEMA

Mc wa usiku wa Bongomovie awards, alipendeza mwanzo mwisho kuanzia chini hadi juu. Hakuna cha kuongeza wala kuzungumzia, purple color ndiyo moja ya rangi zinzo-kick sana kwenye dunia ya fashion. So with that dress ambayo ilikuwa na sehemu kubwa with rangi ya purple, no doubt it was perfect.

RAY

Suti always inakuwa classic, lakini ikiongezewa kitu cha ziada inakua poa sana. Koti la suti la Ray lilikuwa na touch za animal print plus neck tie aliyotupia ilitisha sana. Yap, that was nice Mr director.

IRENE PAUL

Best new actress, yeye ni mweupe na nguo yake nyeusi alitokelezea

JB

Watoto wa New York wanaiita “All black Everything”, Bonge la bwana he was about to it. Kasori shati lakini still rangi nyeusi kuanzia suti yake,tai hadi kiatu vilimtoa vizuri sana.

WASHINDI WA USIKU HUO
Kwanza kabisa zilianza awards za heshima;
1. STEVEN KANUMBA

Tuzo ilipokelewa na mama yake amaye aliambatana na baadhi ya watu wa Kanumba the great filim.

2. JUMA KILOWOKO – SAJUKI

Tuzo ilipokelewa na mke wake Wastara Juma

3. HUSSEIN MKIETI – SHARO MILLIONEA
Tuzo hii ilipokelewa na mtu wake wa karibu katika kazi Mzee Majuto

4. JOHN STEPHAN
Tuzo yake ilichukuliwa na Shija

Tuzo yake ilichukuliwa na Shija
Baada ya hapo zikaja tuzo zenyewe sasa….
William Mtitu na Movie ya Jeraha la Moyo kwasababu ndiyo ilikuwa movie ya kwanza kusambazwa na Steps.
BEST MOVIE FROM NATIONAL INTERGRATION

Mshindi alikuwa ni Steven Nyerere na kampuni yake ya Nyerere the Power baada ya kufanya movie ya Mwalimu Nyerere

BEST MOVIE IN CULTURAL AND LANGUAGE

Movie iliyoshinda ni TOBA ya Cloud 112 kutoka kampuni ya CY & CL.

BEST CAMERA MAN

Award ilienda kwa Zakayo Magulu kupitia movie ya Kijiji cha Tambua Haki ya Kanumba The Great Film

BEST PRODUCTION HOUSE

Mshindi RJ Company na Ray alienda kupokea award na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo

BEST COMEDIAN

Mchekeshaji bora, hii haikuwa na upinzani wala ubishi juu ya nani atakuwa mshindi wa hii kitu zaidi ya Mzee Majuto.

BEST SELLING MOVIE

Movie ilichukua award hii ni Ndoa Yangu ya Steven Kanumba ambayo ilitoka mara baada ya kifo cha Kanumba. Kupokea award hii alienda Mama Kanumba, Jacklyne Wolper ambaye alikuwa moja kati ya mastaa wa movie hii.

BEST SCRIPT PLAY

Mshindi alikuwa Ally Yakuti ambaye ameandika script nyingi sana za movie ambazo zimewatoa wakina Kanumba na Ray. Lakini alipata tuzo kutoka na movie ya Kijiji cha Tambua Haki

BEST ACTOR
Muigizaji bora wa kiume mshindi ni Bonge la bwana JB. Akienda kuchukua tuzo alikwenda kumpa bonge la hug Mzee Majuto ambaye ni mtu wake karibu sana.

Hapa alikuwa anamtafuta Mzee Majuto na Mzee Majuto ajitokeza na kumpa bonge la hug.

Muigizaji bora wa kiume mshindi ni Bonge la bwana JB. Akienda kuchukua tuzo alikwenda kumpa bonge la hug Mzee Majuto ambaye ni mtu wake karibu sana.

Hapa alikuwa anamtafuta Mzee Majuto na Mzee Majuto ajitokeza na kumpa bonge la hug.

BEST COMEDIAN
Mchekeshaji bora, hii haikuwa na upinzani wala ubishi juu ya nani atakuwa mshindi wa hii kitu zaidi ya Mzee Majuto.

Mchekeshaji bora, hii haikuwa na upinzani wala ubishi juu ya nani atakuwa mshindi wa hii kitu zaidi ya Mzee Majuto.
BEST ACTRESS

Muigizaji bora wa kike, Award ilienda kwa Irene Uwoya ambaye kwa sasa yupo South Africa lakini aliwakilishwa na Chopa

MATUKIO MENGINE
Mama Kanumba angua kilio;
Baada ya kupokea tuzo kadhaa za mwanae, Mama Kanumba akashindwa kujizuia na kushuka kwenye stage akiwa analia machozi na kujifuta na kitambaa chake huku akisaidiwa na mdogo wake Kanumba Seth Bosco.

Fikra nyingi za watu labda watu hawa wangeweza kuwa hawaelewani, lakini ni tofauti kabisa maisha yao. Wamekuwa watu wakaribu sana hadi kuingia wote kwenye hzi tuzo na hata kupiga picha pamoja kwenye red carpet
VInywaji vya bure
Baadhi ya watu hadi wasanii wengine walionekana kuzidiwa na vinywaji vya bure na kuanza kushindwa kuji-control,yaani kulewa. Mmoja kati ya watu walipanda kwenye jukwaa akionekana akiwa pombe zimemzidia kabisa. Lakini wengine walipiga vitu vyao vikali kwenye viti vyao na kutulia tuli.

Watu wajichanganya kwenye red carpet
Utaratibu haukuwekwa vizuri, meza ya ku-sign kama umefika kwenye event ipo karibu na mrango ukiwa unatokea mrango mkubwa. Kitu ambacho kinafanya red carpet iwe nyuma yako. Baadhi ya wasanii ilibidi waonyeshwe nenda pale kwenye red carpet. Mpangilio mzuri ulikuwa ni kuweka ile meza ya ku-sign mwanzo wa red carpet upande wa kulia. Baada ya ku-sign mtu anaingia red carpet then anaingia ukumbini

RED CARPET NA MATUKIO MENGINE MBALIMBALI KATIKA PICHA

Closer picture ya awards zenyewe.

Wadau wa Kanumba The Great

Ridhiwani Kitwete mdau wa bongomovie na CCM skiongea na mdau kutoka Steps

Capto Rado akifuatilia tukio

Maya kwa mbaliii

Dokii akiwa na Asha Baraka

Yusuph Mlela

Mzee Magali na Sauda Mwilima

Mzee Kambi na Mzee Chilo

Mzee Majuto akifurahia jambo na Mama Kanumba

Irene Pau

Ally Yakuti

No comments:
Post a Comment