
Leo ni leo Watanzania,timu etu ya taifa inajitupa uwanjani kupambana na timu ya Ivory Coast.Leo ndiyo siku ya kuonyesha umoja wetu na utaifa wetu.Mungu ibariki Taifa Stars,Mungu ibariki Tanzania!
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment