Sunday, 2 June 2013

MABADILIKO: MWILI WA NGWEA UTAINGIA DAR JUMANNE IJAYO NA SIYO JUMAPILI HII




Mwili wa ngwea utaletwa Tanzania siku ya jumanne na siyo kesho.
Taarifa hizi nikwa mujibu wa tweet aliyotweet Millard Ayo aliyeko nchini africa kusini ulipo mwili wa marehemu Ngwair

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...