Mtoto wa Rais wa Tanzania Miraji Kikwete ametoa fulana kwa kamati inayoandaa msiba wa Albert Mangwea aliyeaga dunia akiwa Afrika ya Kusini Mei 28, mwaka huu.
Miraji amekabidhi tshirt kwa kamati hiyo inayoongozwa na PFunk kwenye viwanja vya Leaders Club jana.
Miraji amekabidhi tshirt kwa kamati hiyo inayoongozwa na PFunk kwenye viwanja vya Leaders Club jana.
Mwili wa Ngwea sasa utawasili Jumanne saa nane mchana na si leo(Jumapili) kama ilivyopangwa awali.
No comments:
Post a Comment