Waliochaguliwa kuwa mabalozi wa kampeni ya Grow ya OXFAM ni Shamim Mwasha mmiliki wa 8020 blog, Dina Marios(mtangazaji wa clouds fm),Jacob Stephen(mwigizaji), Halima Mdee(Mbunge wa Kawe),Shyrose Bhanji(Mbunge wa bunge la Afrika ya Mashariki), Khadija Mwanamboka(mwanamitindo) na Masoud Ali Kipanya(mchora katuni).
Shamim Mwasha

Dina Marios


Msanii Jacob Stephen (JB)

Masoud Kipanya
Mwanahamisi Salim ni meneja kampeni wa Oxfam

mkurugenzi wa Oxfam Tanzania,Justin Morgan

wageni waalikwa kutoka sekta tofauti nchini sambamba na ndugu jamaa na marafiki wa Mabalozi
Mabalozi pamoja na washindi wamama Shujaa wa chakula
CHANZO: 8020 fashion
No comments:
Post a Comment